CV ya Ismaël Olivier Touré | Simba SC Sign Experienced Centre Back

CV ya Ismaël Olivier Touré

Simba SC wamemsajili rasmi Ismaël Olivier Touré, beki wa kati mwenye umri wa miaka 28, kwa mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru. Usajili huu unaimarisha safu ya ulinzi kuelekea mashindano ya ndani na CAF.

Player Profile / CV:
Ismaël Olivier Touré ni mlinzi mwenye uzoefu barani Afrika. Amechezea ASEC Mimosas (Ivory Coast – klabu kongwe na yenye mafanikio Afrika), Stellenbosch FC na Marumo Gallants (Ligi Kuu Afrika Kusini). Uzoefu wake wa ligi ngumu na mashindano ya CAF unampa Simba SC uimara, uongozi, na ushindani mkubwa kwenye ulinzi wa kati.

Kwa kujiunga bila ada ya uhamisho, Simba SC inanufaika kiuchumi huku ikipata beki mwenye kiwango cha juu kwa mechi za presha kubwa.

Post a Comment

Previous Post Next Post